niblogu yenye taarifa mbalimbali za kutoka Mkoa wa Tanga na karibisha matangazo mbalimbali.
Jumamosi, 28 Mei 2016
Ijumaa, 27 Mei 2016
hifadhi mazingira
Waandishi wa habari a mkoa wa Tanga wamefanya mafunzo ya siku nne kwa ajili ya kujifunza namna ya kutafuta habari mbalimbali kupitia mtandao.Mafunzo hayo yamefadhiliwa na Taasisi ya Misa Tan na kuratibiwa na klabu ta waandishi wa habari mkoa wa Tanga.
WAANDISHI WA HABARI WAKISHIRIKI MAFUNZO KUHUSU MATUMIZI YA INTANETI
MISA - TANZANIA YAWAWEZESHA WAANDISHI WA TANGA KUFANYA KAZI KWA UMAHIRI
Waandishi wa habari wa Tanga wakishiriki mafunzo ya matumizi ya Interner kwa waandishi yaliyoandaliwa na Taasisi ya vyombo vya habari kusini mwa Bara la Afrika Tawi la Tanzania (Misa-Tanzania) kwa ushirikiano wa Mfuko wa vyombo vya habari, Mawasiliano na Maendeleo wa Finland na kufanyika ukumbi wa Tanga Press Club (TPC)
Mafunzo hayo ambayo yamenda kwa siku nne yanawawezesha waandishi hao kufanya kazi zao kwa weledi na ufanisi wa hali ya juu.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)
